All for Joomla All for Webmasters

Updates : Faith Music Lab Wanaendelea Kukupatia Dondoo Yaile Collection Bora Kwa Sasa Hapa Tanzania Ya Faith List Vol 1

Usipitwe na hii collection bora kwa sasa hapa nchi Tanzania  ya wale wakali wote walio wahifanya kazi zao vizuri na studio ya Faith Music Lab .

 

Kupata order ya hii collection unaweza wasiliana na sisi kupitia njia zifuatao :-

+255 655 100 200 or +255 787 100 200

Facebook page ; Faith Music Lab

Twitter : Faith Music Lab

Instagram : Faith Music Lab

 

Share Na Wengine Baraka Hizi .

Kitu Kikubwa Cha Ki Mungu Hiki Hapa , “FAITH LIST VOL.1 COLLECTION” Kutoka Faith Music Lab

Mabingwa wa kufanya maajabu katika muziki wa injili siwengine nao ni  Faith Music Lab Wamekuletea kitu kibwa katika historia ya muziki wa injili kinacho kwenda kwa jina la FAITH LIST VOL.1 COLLECTION , ambapo wale waimbaji wote waliofanya vizuri kupitia katika studio hii bora ya Faith Music Lab, Wametoa collection hii ya Faith List Volume 1.

Share na Wenzako Baraka Hizi Za Kipekee Katika Ufalme Wa Mungu Hapa Tanzania.

Wasiliana nasi kwa simu namba 0655 100 200 au 0787 100 200

Follow us

Facebook : faithmusiclab

Twitter : faithmusiclab

Instagram: faithmusiclab

YouTube : Faith Music Lab

 

Faith Music Lab Is The Only Place Of Exposing Talents Here In  Tanzania.

OFA OFA KUELEKEA MSIMU WA PASAKA KUANZIA 20/03/17

FAITH MUSIC LAB STUDIO. tupo Kinondoni Biafra.

Huduma zitolewazo ni kama ifuatavyo : –
1. Music and video production.
2. Music training(Piano. Guitar. drums. Vocal training)
3. Tunafundisha (studio sound production) kutumia cubase na logic
4.Kusoma muziki kwa notations
5. Tunaazimisha vifaa vya muziki kwa bei nafuu sana.
6. Tuna kodisha Studio space kwa kufanyia mazoezi kwa elfu 25tu per hour ikiwa na (vyombo vyote vya muziki bure)

tunafanya kazi masaa 24 kaka producers wanaingia kwa shift. isipokuwa jmosi na jpili tu.

huwa tuna maproducer watatu :
success,
Nsajigwa Modecai na
George Kabanu.

Pastor Sammy Rodin hufundisha muziki na sauti akishirikiana na wataalamu wengine.

Katika kuelekea msimu wa pasaka FAITH MUSIC LAB tunakuletea ofa maalumu ya kurekodi album badala ya 1.6 mtu atarekodi album kwa milioni tu!

Namba zetu ni 0787 100 200 ama
0655 100 200 FAITH MUSIC LAB.Biafrakinondoni
Website ni www.faithmusiclab. com

Instagram : https://www.instagram.com/faithmusiclab/
Twitter : https://twitter.com/faithmusiclab
YouTube:https://www.youtube.com/channel/UCAIxjechROff_JNr5Jd0E_g

Loading………% : Video Ya Sulemani Wilson Mshindi Wa Gospel Star Search 2016

capture

Faith Music Lab wadhamini wa gospel star search 2016 inatendelea kufanya kazi zake za kutoa na kutangaza kazi  mpya za washindi  hao,  sasa basi  ile video ya Mshindi wa gospel star search Sulemani Wilson inayojulikana “Nakupenda” ipokaribu kabisa kutoka.

kbngjebgbgejbjege

Kama wewe unakipaji cha kuimba  na haujui nini chankufanya na wapi pakwenda , basi usipoteze muda Faith Music Lab ipo kwaajili yako kwa mawasiliano zaidi piga simu namba  +255 655 100 200 au + 255 787 100 200 .Tunapatikana Biafra Kinondoni Lakini pia kama bado hauja like au  kutufollow kwenye mitandao ya kijamii kama twitter, facebook na instragrm anza sasa kufanya hivyo na Mungu wa mbinguni atakubariki.

Wikii ni zamu ya Rogate Kalengo Nyimbo ” Kuna Namna” Ndani ya Chomoza ya Clouds TV

hgbugughbug

Faith Music Lab kama sponsor wa Gospel Star Search mwaka 2016 , Tumejitolea kuinua vipaji.

Tulianza na Suleiman Wilson na wimbo wake wa Nakupenda, akafuatiwa na Flora Abiudy Kachema na wimbo wake wa Halelluya Bwana.

Wiki hii hapa ni Zamu ya Rogate Kalengo na wimbo wake wa KUNA NAMNA ndani ya Gospeltrax na Chomoza Ya Clouds Tv ndani ya Clouds Media Group.

Salamu kwa Harris Kapiga John Pazia Samuel Nathaniel Sasali James Temu Sammy Rodin Gwandumi Emmanuel Ango

Faith Music Lab inaendelea kukupatia kile unacho kipenda Kama bado hauja like na kutufollow kwenye mitandao ya kijamii kama twitter, facebook na instragrm anza sasa kufanya hivyo na Mungu wa mbinguni atakubariki.

Loading………% : Video Ya Sulemani Wilson Mshindi Wa Gospel Star Search 2016

img-20161019-wa0014

Mshindi wa Gospel Star Search Sulemani Wilson anatarajia kutoa video yake mpya hivi karibuni , Video hiyo imeandalia na kutengenezwa na Faith Music Lab iliyopoto Biafra Kindondoni Jijini Dar-es-Salaam

Faith Music Lab inaendelea kukupatia kile unacho kipenda Kama bado hauja like na kutufollow kwenye mitandao ya kijamii kama twitter, facebook na instragrm anza sasa kufanya hivyo na Mungu wa mbinguni atakubariki.

Video Mpya : Pam Sam Kuachilia Video Yake Ya Kwanza Kutoka Faith Music Lab

14721555_272123756515918_3153826431589975021_nPam Sam Kuachilia video yake ya kwanza itakayoenda kwa jina la KESHO YAKO wimbo ambao umefanywa kwenye studio za Faith Music Lab zilizopo pale Biafra. Endelea fuatilia katika tovuti yetu hii kuendelea kupata taarifa zaidi kuhusu ujio ya  video mpya zitakayo kua za baraka kwako .

Pia usiache kutufuatilia katika mitandao ya kijamii kwenye accounts zetu zote yaani , Facebook, Twitter Instragram na YouTube

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On InstagramVisit Us On Youtube